• globe
    • English
    • Беларуская мова
    • Български
    • Македонски
    • Монгол
    • Русский
    • Українська
    • тоҷикӣ
    • Қазақ тілі
    • Հայերեն
    • עברית
    • العربية
    • بَاسَا سُوْندَا
    • فارسی
    • کوردی
    • 中文 (简体)
    • नेपाली
    • मराठी
    • हिंदी
    • বাংলা
    • ਪੰਜਾਬੀ
    • 日本語
    • Čeština
    • ગુજરાતી
    • తెలుగు
    • ಕನ್ನಡ
    • 繁體中文
    • മലയാളം
    • සිංහල
    • ไทย
    • ພາສາລາວ
    • ကညီလံာ်ခီၣ်ထံး
    • ဗမာစာ
    • ဗမာစာ (Unicode)
    • ქართული
    • አማርኛ
    • 한국어
    • ខេមរភាសា
    • ‫اردو
    • ελληνικά
    • Afrikaans
    • Azərbaycanca
    • Bahasa Melayu
    • Bahasa Melayu Brunei
    • Cрпски
    • Catalŕ
    • Cymraeg
    • Dansk
    • Deutsch
    • Eesti
    • Español
    • Filipino
    • Français (Canada)
    • Français (France)
    • Hausa
    • Hmoob
    • Hrvatski
    • Ikirundi
    • Indonesia
    • isiXhosa
    • isiZulu
    • Italiano
    • Kreyòl ayisyen
    • Latviašu
    • Lietuviškai
    • Luxembourgish
    • Magyar
    • Malagasy
    • Malti
    • Mooré
    • Nederlands
    • Norsk
    • Oʻzbek
    • Polski
    • Português
    • Română
    • Slovenčina
    • Slovenščina
    • Soomaaliga
    • Srpski
    • Suomi
    • Svenska
    • Türkçe
    • Tagalog
    • Tiếng Việt
    • Vlaams
    • Yorůbá
    • Español (European Union)
    • Português (European Union)
    • English (UK)
    • íslenska
    • தமிழ்
    • Bosanski
    • gjuha shqipe
Client Login
Ethics Point - Integrity at Work

Tuma Ripoti Mpya


 

Fuatia ripoti yenye kuwa



Hutoa simu za moja kwa moja za siri na bila kutaja jina kwa matengenezo duniani pote.

Nia ya EthicsPoint ni kuthibitisha kwamba utaweza kuarifu mambo na wasiwasi yanayohusu matendo yasiyo na adili au yasiyo halali na kawasiliana na wakuu wa tengenezo au baraza ya wakurugenzi kwa siri na bila kutaja jina lako. EthicsPoint ni mahali pa salama panapopewa cheti cha sahihi (Safe Harbour Certified) kwa njia ya United States Department of Commerce cha kusema kwamba kampuni ni mtoaji wa simu ya moja kwa moja yenye mipango ya salama kwa kupatana na mashauri ya Muungano wa Ulaya juu ya faragha na mashauri mengine ya dunia juu ya faragha.

Tunajaribu kufanya kuarifu mambo au wasiwasi kuwe kwepesi na bila matata. Kurasa za internet zinazofuata zitakuongoza katika utaratibu wa kuarifu zikilinda siri na bila kutaja jina lako kwa kila hatua. Fuata hatua hizi kwa kutuma ripoti yako.

  1. Andika jina la tengenezo linalotajwa katika ripoti yako na chagua hiari inayofaa
  2. Piga mshale juu ya Namna ya Uhalifu inayoeleza jambo unaloliarifu
  3. Kubali "Matakwa na Masharti" halafu jaza hati
  4. Kabla ya kutuma ripoti yako, tunga neno la siri kwa kuweza kufuatia ripoti yako.

Baada ya kutuma ripoti yako, utapewa namba ya siri (Report Key). Neno lako la siri na namba yako ya siri zitakuwezesha kufuatia ripoti yako.

NAVEX
Privacy Statement   |  Terms of Use   |  Cookie Statement     
© 2023 NAVEX Global Inc., All Rights Reserved.
TRUSTe
SAS70 Type II