Tafadhali ingiza msimbo wa ripoti uliopewa na nywila uliyotengeneza wakati unawasilisha lalamiko lako.
Ni muhimu kufuatilia malalamiko au maswali yaliyowasilishwa kwenye Mawasilioano ya Moja kwa Moja ya UNDP Hii ina kuwezesha kurejelea maswali, majibu, na taarifa za hivi karibuni ulizotumiwa na shirika au OAI. Ili kuweza kufuatilia majibu ya lalamiko, tafadhali ingiza msimbo wa ripoti uliopewa na nywila uliyotengeneza wakati unawasilisha swali au lalamiko lako.
Kwa taarifa zaidi,
tafadhali angalia ukurasa wetu wa Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara
Kufuatilia lalamiko lililowasilishwa kabla ya Juni 30 2018, tafadhali bofya hapa.